Ingia
Jina
Funguo
 
 
Kwa nini na sisi tupo......

Teknohama ni wavuti binafsi ilianzishwa
kuchangia maendeleo ya teknolojia ya habari na mawasiliano katika kiswahili Afrika
Mashariki na kati.

Kwa kuwa maendeleo ni dhana ilioyoingiliana
na masuala mbalimbali, wavuti hii pia
itakuwa inabeba habari, makala, mahojiano,
insha, picha,katuni na n.k.

Zote zikiwa na lengo la kuonesha maendeleo
ya nyanja tofauti na TEKNOHAMA.Tunaamini
kilicho muhimu sio majina yetu bali kazi yetu
na manufaa yake kwa Afrika na Ulimwengu
kwa ujumla.

© 2008 : Haki zote zimehifadhiwa na TEKNOHAMA